utt

.

line

line

line of success

line of success

Wednesday, June 17, 2015

Siri Nzito CCM, Wagombea lukuki

Kulingana na hali ya siasa nchini kuendelea kukielemea chama cha mapinduzi wameamua kubuni mbinu mpa dhidi ya vyama vya upinzania kwa kile kinachoonekana kuwadhamini na kuwaweka wagombea wengi kana kwamba kutengeneza gumzo kwa taifa na kuharibu umakini uliopo kwa wananchi juu ya  vyama vya upinzani hasa CHADEMA.
Hivyo kulingana na wataalamu wa mambo ya siasa wameeleza kuwa kitendo cha wananchi kubaki wakitafakari wagombea wa ccm wataweza kutambua mabaya na mema ya wagombea wa ccm wakati huo watabaki na hisia nzuri akilini mwao hivyo kuongeza umakini wa hali ya juu kwa wananchi dhidi ya ccm na sio kama ilivyo kwa chadema na vyama vingine vya upinzani.
Kutokana na hali hiyo vyama vya upinzani vinapaswa pia kujipanga na kuendeleza mapambano ili kuweza kukabiliana na chama hicho katika uchaguzi mkuu ujao.
"Japo ni mabaya lakini unapoyataja unayapa umaarufu" hivyo kadiri ya watu watakapokuwa wanawajadili wagombea wa ccm watazidi kukipa chama hicho umaarufu na kuwafikia watanzania wengi.

No comments:

Post a Comment