utt

.

line

line

line of success

line of success

Sunday, July 5, 2015

KIKOMBE CHENYE UWEZO WA KUTAMBUA KILE ULICHO WEKA NDANI YAKE CHA GUNDULIWA MAREKANI

screen-shot-2014-06-11-at-8-39-11-pm

Kikombe hiki kina uwezo wakutambua kile ulichoweka ndani yake, yaani kama umeweka maji hukupa taarifa ya kuwa ume weka maji kwakupitia smart phone yako, na pia ubavuni mwakikombe huandika pia, kina uwezo wa kutambua kemikali iliopo ndani ya kinywaji ulichoweka humo, kikombe hiki kime tengenezwa na mtaalam mr JUSTIN LEE kutoka huko sanfransisco nchin marekani.
upooo???
9572-1355-deep-sea-53a818987286395bc3bad8e20168087c-l 0612_vessel_app 240173999-origin-1422329818 n7e5jmuch4zio1nuqtvv

No comments:

Post a Comment