utt

.

line

line

line of success

line of success

Monday, July 13, 2015

Watu waliokisiwa kuwa majambazi wamekivamia kituo cha polisi stakishari ukonga


Watu waliokisiwa kuwa majambazi wamekivamia kituo cha polisi stakishari ukonga. Kwa mujibu wa taarifa za awali watu hao wamevunja store ya silaha na kuchukua silaha zote aina ya SMG zilizopo kituoni hapo....
Hadi sasa polisi kadhaa inasemekana wameuwawa na jambazi mmoja aliyepigwa na risasi ya jambazi mwenzie....Jambazi aliyeuwawa inasemekana ni dereva wa bodaboda wa kituo cha njia panda aliyefahamika kwa jina la Madevu...inasemakana majambazi hayo yametokomea na kuacha pikipiki 3....hali mida hii si shwari mitaa ya stakishari na maeneo ya karibu baada ya milio ya bunduki kutawala maeneo yote....walio wengi wamejifungia majumbani kwao na sasa hivi kelele za ving'ola vya magari ya polisi vinasikika stakishari yote......kwa habari zaidi tuendelee kusubiri.
Hivyo ndo ilikua masikat wajambaz walivyofanya unyama kuua polis na raia 

No comments:

Post a Comment