
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh.
Edward Lowassa akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Morogoro
Mjini, Fikiri Juma, pindi alipowasili kwenye Ofisi za CCM Mkoa wa
Morogoro, leo Juni 29, 2015 kwa ajili ya kukabidhiwa orodha ya majina ya
WanaCCM waliomdhani ili apate ridhaa ya chama chake kuwania Urais wa
Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.
Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro, Innocent Kalageris. Mh.
Lowassa...
No comments:
Post a Comment