utt

.

line

line

line of success

line of success

Monday, June 29, 2015

Umewahi kula konokono?

fanyabiashara mmoja nchini Kenya ameanzisha kampeni kali ya kufuga konokono Afrika.Konokono huliwa kwa wingi maeneo ya Afrika Magharibi lakini wenyeji wa Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika hawajakuwa na tabia ya kula konokono. Wataalamu wanasema kuwa ufugaji wa konokono ni kilimo nafuu chenye faida kubwa.

No comments:

Post a Comment