utt

.

line

line

line of success

line of success

Monday, June 29, 2015

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NDANI YA VISIWA VYA UKEREWE JIJINI MWANZA


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia...


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwapungia wakazi wa kijiji cha Sambi kata ya Irugwa, wilayani Ukerewe waliojitokeza kwa wingi kumpokea ,Kinana ameweka historia kwa kuwa kiongozi wa kwanza kufika katika kisiwa hicho akiwa kwenye ziara ya kukagua,kuhimiza na kusimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi pamoja na kukagua uhai wa Chama. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimina na mmoja wa wakazi wa kata ya Irungwa


No comments:

Post a Comment