utt

.

line

line

line of success

line of success

Wednesday, July 15, 2015

Mauaji Stakishari yaibua mapya Polisi


JESHI la Polisi nchini jana liliwaaga kwa heshima zote za kijeshi askari wake wawili kati ya wanne waliouawa wakiwa katika kituo cha kazi cha Stakishari, Ukonga jijini Dar es Salaam, huku likiahidi kufanya mapinduzi kadhaa ya kiutendaji.Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP, Ernest Mangu, akitoa tamko juu ya tukio la Stakishari la kuuawa kwa polisi na raia kulikofanywa na majambazi.

No comments:

Post a Comment