utt

.

line

line

line of success

line of success

Tuesday, July 14, 2015

Mgombea wa ukawa atangazwa rasmi habari kamili soma hapa>>>>>>>

Kikao cha UKAWA kilichokaa na kujumuisha Wenyeviti na makatibu wakuu wanaounda vyama hivyo, walifikia makubaliano.
Mambo makubwa waliyokubaliana UKAWA ni ugawanaji wa majimbo ya Ubunge na kusimamisha mgombea mmoja wa Urais atayetangazwa leo.
Mambo machache wanayomalizia kukubaliana UKAWA, Prof. Lipumba amesema ni mambo madogo ambayo hayawezi kuleta matatizo yoyote.
Kwakuwa UKAWA si chama cha siasa, mgombea huyo wa Rais anatolewa ndani ya chama kimojawapo na ataungwa mkono na vyama vyote.
Prf. Ibrahim Lipumba alisema kuwa kuna mambo machache wanamalizia na leo hii jumanne watamtangaza rasmi mgombea Urais wa UKAWA

No comments:

Post a Comment