
Jaji
Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman na ujumbe wake pamoja na
maafisa wa bunge wakiingia Bungeni tayari kwa hotuba ya mwisho ya Rais
Jakaya Mrisho Kikwete mjini Dodoma Alhamisi Julai 9, 2015

Marais
wastaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa na
Mawaziri wakuu wastaafu Dkt Salim Ahmed Salim, Jaji Joseph Sinde
Warioba, Mhe. Frederick Sumaye na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama
na maafisa waandamizi jeshini na serikalini wakiwa wamesimama wakati
viongozi wakiingia bungeni

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein akiingia bungeni

Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali akiingia katika ukumbi wa Bunge

Spika Anne Makinda akimuongoza Rais Kikwete kuingia bungeni

Rais Kikwete akiingia bungeni huku akishangiliwa na wabunge

Rais Kikwete akiingia bungeni

Rais Kikwete na Spika Makinda wakielekea kuchukua nafasi zao

Sehemu ya ukumbi wa bunge wakati Rais Kikwete akiingia

Waheshimiwa wabunge

Sehemu ya maafisa waandamizi wa bunge

Rais Kikwete akianza kuhutubia wabunge

Sehemu ya maafisa waandamizi wa bunge

Rais Kikwete akihutubia

Rais Kikwete akiendelea na hotuba yake

Waheshimiwa wabunge wakiwa wametulia kumsikiliza Rais Kikwete

Sehemu ya wabunge

Sehemu ya wageni mashuhuri wakifuatilia hotuba

Sehemu ya wabunge

Wake wa viongozi, watoto wa Rais Kikwete na maafisa mbalimbali

Sehemu ya Mabalozi

Wabunge wakifuatilia hotuba

Wabunge wakifuatilia hotuba

Wabunge wakifuatilia hotuba

Wabunge wakifuatilia hotuba

Wabunge wakifuatilia hotuba

Wabunge wakifuatilia hotuba

Wabunge wakifuatilia hotuba

Wapiga picha wakirekodi hotuba ya Rais Kikwete

Jaji Mkuu na ujumbe wake

Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge.
No comments:
Post a Comment