WAZIRI MKUU WA ZAMANI FREDERICK SUMAYE AJIUNGA NA CHADEMA..
SUMAYE ANAJIUNGA UKAWA MUDA HUU!
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kwa miaka 10 (1995 - 2005) akifanya kazi na Rais Mkapa, mhe. Fredrick Sumaye, anaiaga CCM na kujiunga UKAWA muda huu jijini Dar Es Salaam katika mkutano maalum wa UKAWA na vyombo vya habari.
Sumaye anakuwa waziri mkuu wa pili kujiunga UKAWA baada ya mwenzie Edward Lowassa kufanya hivyo.
Tangu Tanzania ipate uhuru hali hii haikuwahi kutokea, Sumaye anasema "kuna maisha nje ya CCM"
MY TAKE;
CCM itaanguka vibaya mwaka huu.MAKAMANDA MBOWE AMESEMA TUSHARE HII PICHA HADI CCM WOTE WAHAMIE UKAWA... SHARE MARA NYINGI UWEZAVYO HII PICHA

No comments:
Post a Comment