WAZIRI
wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akisalimiana na baadhi ya
wadau wa masuala ya uhifadhi na utalii wakati alipofungua mkutano wa
majadiliano kuhusu uboreshaji wa mfumo wa usimamizi na uendeshaji Maeneo
ya Jumuia ya Hifadhi ya Wanyamapori Tanzania (WMA), ulioanza jana
jijini Arusha.
WAZIRI
wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akisalimiana na mdau wa
masuala ya utalii na uhifadhi nchini, Willy Chambulo, muda mfupi baada
ya kufungua mkutano wa majadiliano kuhusu uboreshaji wa mfumo wa
usimamizi na uendeshaji Maeneo ya Jumuia ya Hifadhi ya Wanyamapori
Tanzania (WMA), ulioanza jana jijini Arusha.
WAZIRI
wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akizungumza na wadau na
viongozi wa Maeneo ya yya Hifadhi ya Wanyamapori nchini (WMA), ulioanza
jana jijini Arusha kujadili uboreshaji mfumo wa usimamizi na uendeshaji
jumuia hizo.
WAZIRI
wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akifuatilia majadiliano wakati
wa mkutano wa wadau na viongozi wa Maeneo ya Jumuia ya Hifadhi ya
Wanyamapori nchini (WMA), ulioanza jana jijini Arusha.
Wadau na viongozi wa Maeneo ya Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori nchini (WMA) walioshiriki mkutano huo.
No comments:
Post a Comment